the american dream
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,754
- 837
Hivyo vitatu vinatosha mno both kwa wenye akili timamu na waliozibuka i mean wa kizazi cha mwinyi na jah kaya cha nyerere i dont knowAccording to you, what do you think makes Ladies to be more happy?
1. Attention
2. Love
3. Money
4. Sex
5. Care
6. Truth
7. Lies
According to you, what do you think makes Ladies to be more happy?
1. Attention
2. Love
3. Money
4. Sex
5. Care
6. Truth
7. Lies
Ukipigwa wapi.......na nundu itokee wapi??nikipigwa na kutolewa manundu ndo raha yangu.
Wee gaidi.....Hahahahaha..... noted with thanks..
CC: Lily Flower, sweetlady, Blaki Womani, PakaJimmy, Filipo, Mzee wa Rula
Hahahahahahaha :clap2::coffee:Ukipigwa wapi.......na nundu itokee wapi??
teheteheteheeee:mimba:
According to you, what do you think makes Ladies to be more happy?
1. Attention
2. Love
3. Money
4. Sex
5. Care
6. Truth
7. Lies
1.....3.....6.........bhaaaaaasi........
kuna mijitu miongo dunia sijawahi kuona......ukiiuliza inadanganya ili iweje........halina sababu........
1.....3.....6.........bhaaaaaasi........
kuna mijitu miongo dunia sijawahi kuona......ukiiuliza inadanganya ili iweje........halina sababu........
Hawa ni mashahidi wa Ugaidi wako......nabii gaidi...!!!
mrembo mambooooo!!!Nyie mkimaliza kuCC ana mnambie maana leo mnazungumza lugha ngumu. Mtoa mada aksante ngoja niangalie mie za kunifaa
Ukipigwa wapi.......na nundu itokee wapi??
teheteheteheeee:mimba: