what kind of risk have u ever take for the name of love?

mie nishaduu kavu kavu na mpaka leo naogopa kwenda angaza duh! nikipata mafua naanza kufikiria hivi siku ile ilikuwaje?
kila siku tunapanga kwenda kuangazwa mie ndo dharura haziishi:embarassed2:
 
binafsi nimekubali kuwa na guy ambaye najua anamsichana wake mud mrefu na nimewapa uhuru wa kuonana popote pale wanapojisikia ilimradi jamaa aniambie ukweli tu, na ninafanya hivyo huku nikiwa sina tumaini la jamaa huyo kuwa wangu wa ndoa ama lah!........ wakati mwingine huwa najiona nimelogwa lakini nimerealise kuwa nafanya kwa jina la upendo wangu kwake....litakolotokea acha litokee tu....WEWE JE?

Aiseee....,
kweli love is blind
 
Costomer
hongera mkuu ..nina wivu wa mapenzi napenda kuwa selfish na wangu ..
Sintoweza kumpa ruhusa kama we uliotoa.
Hongera sana ..
 
Loving a man unconditionally.. (tryng to give a "buzz off" to the fact that these creaturez cant be trusted!)
ila wanasema HIGH RISK HIGH RETURN.. Mayb outcome ya ku take hii risk itakua nzuri!
 
mimi nishawahi kumpenda msichana hata baada ya kuniambia ana ngoma nikathibitisha kwa vyeti still nkaendelea kutaka awe mpenzi wangu
 
4 sure no bad can understand me even moyo wagu unanishaangaaga. Nimeendelea kumpenda mpenzi wangu wa zamani hata baada ya kuoa
 
Back
Top Bottom