What is your unforgettable movie?

What is your unforgettable movie?

Mb-one

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
884
Reaction score
1,296
tuambiane wanajamvi muvi ipi huisahau na unaikubali mno,kwangu mimi naikubali sana DISTRICT 13,RUSH HOUR 3,HITMAN,VIVA RIVA,SHERLOCK HOLMES,KUNG.FU HUSTLE,UNDISPUTED,tupia na zako hapa
 
Kuna movie inaitwa 'THE CHAMP'
siwezi isahau

halafu 'INDECENT PROPOSAL'...
 
tuambiane wanajamvi muvi ipi huisahau na unaikubali mno,kwangu mimi naikubali sana DISTRICT 13,RUSH HOUR 3,HITMAN,VIVA RIVA,SHERLOCK HOLMES,KUNG.FU HUSTLE,UNDISPUTED,tupia na zako hapa
kichwa cha habari kimesema utaje movie ambayo hutoisahau lakini wewe umeorodhesha movie kadhaa! .kwa upande wangu movie ambayo sitaisahau ni firstblood ya silyvester Stallone alitumia jina la Rambo.
 
Indecent proposal aiseee khaaaaa!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Nimeona movies nyingi na ninapenda movies kulingana na themes kwahio ninazo nyingi mfano za Martin Lawrence kwenye comedies they are great au Dirty Rotten Scoundrels its so funny.., as well as Jackie Chan Movies

Lakini tukija kwenye movies ambazo waandishi walifanya kazi kwa kutengeneza plot kali nadhani Shawshank Redemption na Usual Suspects they are great (you never know what might happen na mwisho inakuacha with your jaw dropped)

Kwenye movies zenye dialogue poa.., nadhani The Negotiator na movies nyingi za Samuel L Jackson are up there..

Good stories kuna kina The Fugitive; The City of God, The Killer n.k.

Anyway nadhani ukigawa kwa themes I will recommend you a movie which am sure you will like (on the second thought I think I should work on a movie library au nianze kuuza movies mitaani)
 
"Mission Travel the world" By Vasco Da Gama a.k.a JK
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom