The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,097
- Thread starter
-
- #21
PA kwahiyo in anothers words strategy sio kitu cha msingi sana kwa maana unaweza kuweka strategy halafu you come to realise they dont work?PA dear... Hapa naona umezungumzia general... BUT mie nitaongelea kwanza strategies in relation to find Love - and it finding you.... Ndio strategies ni muhimu katika kutafuta penzi ama kusubiri penzi likukute.... One has to take note kua Strategies ni nzuri kama Muongozo but isiwe ndo misingi ya One kupata a person anapenda afall in love with...
For instance you as a guy unapoweka labda strategies ya the kind of lady you would like to fall in love with... na sifa kama vile labda awe Exposed, awe amesoma, awe Mrembo, awe wa kisasa, na awe awe nyingine nyiiingi hupelekea mara nyingi usione what is right in front of you just because you are so set on the type of person who seems ideal to you.... Na huyo wa mbele wako sababu haonekani ideal basi waweza mpoteza hivi hivi... na kuishia kupata ideal ambae aweza kua Bomu....
Mkuu nina imani kwamba suala la wewe kuoa halikuja ghafla tu bin vuu lazima ulikuwa na mikakati fulani sijui kama nitakuwa nakosea
Yaani nimekumiss mbaya hapa jukwaani yaani mpaka palipooza kabisa kwa kupotea kwako
Mambo dear
Mwanakil ananichanganya tuu hapa
Npo dada ashadii
Mambo zmekuwa ming mpaka shida,vp maisha lakn?
dada maisha magumu huku khaa naona nitafute mume sasa siwezi tena hili life?nyie watu sijawatia kabisa machoni...... Alafu mwanakili ulikuwepo kifunguoni tena?? Au nimechanganya madesa??
PA kwahiyo in anothers words strategy sio kitu cha msingi sana kwa maana unaweza kuweka strategy halafu you come to realise they dont work?
Rocky mie pia nilikumissini jamani.... Mwanakili mbona peace saana anakuchanganya nini??
Weka strategies jinsi na namna gani ya kumpatia....lol
Mungu anasadia rafiki.... kama mambo mengi ina maana kazi inaenda vizuri. Umepanga strategies lakini??
Usinifanyie hivyo banaa i believe mikakati lazima ilikuwapo ngoja nimtafute soulmate wako lazima atafunguka tu hapa lolStrategy = Mkakati si ndio?
Mwe ...................we The Finest una maswali!! mie hata sijakuelewa unachokitaka!
dada maisha magumu huku khaa naona nitafute mume sasa siwezi tena hili life?
Usinifanyie hivyo banaa i believe mikakati lazima ilikuwapo ngoja nimtafute soulmate wako lazima atafunguka tu hapa lol
Rocky ulipokuwa unataka kuoa uliweka strategies zote na zenyewe ni zipi?Na unaweza kuweka malengo na mikakati yako kumbe ni bure wala haitakufikisha katika malengo wala kutimiza ndoto zako
Sometime suala la kuoa ni just mipango yako tena ya muda mfupi maana ukipania sana na kuweka mikakati mikubwa huenda usifikie ndoto
Pima ni wakati gani na ni muda gani unaweza kutimiza lengo lako wala usitegemee kuwa utajipanga kufikia lengo hilo
My kid sis kama utaolewa sababu tu upunguze ugumu wa Maisha... Usije ingia mkenge (is Rocky treating you right lakini??)
aahaa sisy rocky ni shem wangu bwanamy kid sis kama utaolewa sababu tu upunguze ugumu wa maisha... Usije ingia mkenge (is rocky treating you right lakini??)
My kid sis kama utaolewa sababu tu upunguze ugumu wa Maisha... Usije ingia mkenge (is Rocky treating you right lakini??)
Rocky ulipokuwa unataka kuoa uliweka strategies zote na zenyewe ni zipi?
Anko wangu kaoa bt hamna tofauti ya ubachela na sasa.mana mapish ni zero kwa shangaa.yani hajui.nadhan amekuwa karb il ile hudum isiwe mbal. Bebii njoo kwangu bush men ule raha.
all in all yote ni lazima yaendane na kupunguza ugumu wa maisha rocky huwezi kwenda kwenye matatizo au nakosea kaka?bebii anatakiwa kufikia na kuwa na mipango kama kwenye she need to have someone to call husband maana kama ni kumtafuta tuu wa kumsaidia maisha mwake kupata suport ya maisha sidhani kama anahitaji ndoa ni kiasi cha kutafuta mmoja tuu wa kufanya hayo ila kama anahitaji real comittment hapo kweli atulie
aahaa sisy rocky ni shem wangu bwana
Bebii anatakiwa kufikia na kuwa na mipango kama kwenye she need to have someone to call husband maana kama ni kumtafuta tuu wa kumsaidia maisha mwake kupata suport ya maisha sidhani kama anahitaji ndoa ni kiasi cha kutafuta mmoja tuu wa kufanya hayo ila kama anahitaji real comittment hapo kweli atulie
all in all yote ni lazima yaendane na kupunguza ugumu wa maisha rocky huwezi kwenda kwenye matatizo au nakosea kaka?