Job,Bills,mother in law,friends,Facebook ,children ,partner ,your parents ,sex life,
finance,finance and finance...........
Haha vip haisomeki nn?mie job bana inanistress xana hadi jmos ka leo nasepa kimtindo nakwenda jificho beach hotel yoyote iliyotulia
finance,finance and finance...........
kwa kweli ni hii kitu mi nachengukaga sana
kwa hiyo untaka tusaidiane ondoa hizi stress?
any idea? lol
nachengukaga ni past as well as wakati wa mazoea kwa sasa nipo financial ok
labda kama mwenzangu una stress nikusaidie
mimi na wewe lugha gongana wewe hapana elewa mimi mimi hapana elewa wewenope
niko ok pia...
nilifikiri unatafuta activity nyingine ya kukuondoa stress lol
sikumaanisha financial help...
Dodoma mna beach hotel?