what is your favorable games in windows

wanajf wapi ipo naweza pata download ya games for pc free
just google hiyo maneno tapata site kibao lakini nyigi za free zinakuwa demo/trail au za kichovu, kama upo na bandwith ya kushiba tafuta aina ya game unapenda kisha zama torrents zipo za kila aina unapakuwa tu, usisahau kusoma comments kabla ya kupakuwa na uwe na antivirus ya maana
 


kama kuna mtu anaweza kuweka website ya kupata mzigo hio apo juu for free plz weka link eeehhhhh
 
Mi nilicheza demo ya max payne nikaipenda sana.
Hivi zile game za play station zinachezeka kwenye computer bila tabu?au ni kwa play station tu?
 
I like kucheza draft. kuna game kila ukinshinda demu anavua uishinda mara tatu anakuwa avua kila kitu.

I was so addicted lakini sasa nimeacha game za kucheza na computer nacheza na real people nline.

Nyingine nayopenda ni pooltable ipo yahoo games

hebu please tuwekee hiyo game ya draft hapa hapa hadharani. au tupe link
 
mkuu me nahitaji GTA3 nilianza kuicheza sikuimaliza machine ikakorofisha ikapotea. NEED FOR SPEED ZOTE AFTER NFS5 (PORSHE) kama unazo tuwekee mkuu tutashukuru.
 
call of duty inatisha hasa kama una windows 7 xp sp3 kwa ajili ya graphics nzuri
 


  • Chess
  • Need for Speed (The Run)
  • Hearts
 
mi nipo tofauti na wengine mi napenda strategies games kama age of empire asian dynasty una spend masaaa hadi 60 play only one mission ni tamu aiseeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…