1:Before 2010 it was football.
Uzee fainali jamani, nilikuwa anapenda mpira hakuna nfano, kila gazeti la michezo nilinunua, Barcelona wakifungwa nalia siku nzima sili ahaaaa
Nilikuwa nabishana na wanaume hakuna mfano,utakuta kundi la wanaume mm ndo msichana pekee tunabisha tunachanga pesa za Ku beti.
Nakumbukaga nilimlipaga mwalimu mmoja kunifundisha sheria za Mpira nilivyozijua nae nikaanza kumkosoa ahaaaaa.sasa hivi nimezeeka nasubiri kombe la dunia tuuu.