manyanga21
Senior Member
- Aug 15, 2018
- 174
- 211
kumbe tupo wengi, addiction yangu speed tuu pamoja na drift za apa na pale uniweke sport car na duu mkali, au pombe haraka nitawai sport carAHH MIE ADDICTION YANGU NI race.... mwendo wa kufuta sahani.. fujo fujo mtaani.. nasikia burudani..
hayo madude cjui papuchi.. na pombe yamenikalia kushoto kweli
hahaha mie pombe nimeikataa kwa sababu kichwa changu nakijua mwenyewe nikinywa pombe nitakuja KUFANYA tukio la ajabu litakalo gharimu maisha yangu.. zats y sigusi hata kuionja... siipendi kabisa..kumbe tupo wengi, addiction yangu speed tuu pamoja na drift za apa na pale uniweke sport car na duu mkali, au pombe haraka nitawai sport car
car funs wote huwa hawapendi pussy kiufupi zimewakalia kushoto hatuna time nazohahaha mie pombe nimeikataa kwa sababu kichwa changu nakijua mwenyewe nikinywa pombe nitakuja KUFANYA tukio la ajabu litakalo gharimu maisha yangu.. zats y sigusi hata kuionja... siipendi kabisa..
pussy.. naziona za kawaida sa cjui nimezikinai au vip
Haaahaaa...aseeDah...mie kukimbiza vibaka...tukimkamata .....huwa nasikia raha ajabu....😎
hahahahahah wee weka hapo SUBARU STI iliyo nyooka vizuri.... aah nasahau kabsa kama kuna kitu kinaitwa papuchi alaf ukiwa fundi maeneo yetu haya..(car maniacs) utashangaa papuchi zinajiletacar funs wote huwa hawapendi pussy kiufupi zimewakalia kushoto hatuna time nazo
Nilichojifunza mungurumo wa gari unaoendesha unapangawisha zaidi ya mguno wa demu anapo gegendwahahahahahah wee weka hapo SUBARU STI iliyo nyooka vizuri.... aah nasahau kabsa kama kuna kitu kinaitwa papuchi alaf ukiwa fundi maeneo yetu haya..(car maniacs) utashangaa papuchi zinajileta
VyoteKama unaishi sayari ya tatu basi kimoja kati ya hivyo ni addication yako.
Kwangu napenda chini sana sema siku za karibuni mhmm tungi limeanza kunikolea lakin bado alijafikia chini.
braaap SOUND OF FREEDOM..... nina mufler ya HKS... ina bembea katika Subaru N14... stiNilichojifunza mungurumo wa gari unaoendesha unapangawisha zaidi ya mguno wa demu anapo gegendwa
Sio powa, huwa natunia Peugeot s106 git inaspeed za kutosha pia ina balance nzuri huwa inanitia kichaa sana kwenye kona nalala nayo maziwa burudani kabisabraaap SOUND OF FREEDOM..... nina mufler ya HKS... ina bembea katika Subaru N14... sti
nimepoteza simu juzi kati hapo... ngojea... kuna DRAG race huwa tunazipanga pale QUALITY CENTRE QC.. mida ya saa 5 usiku... so nikifanya back up ya contacts zangu itabid tufanye event moja pale.. na nataka drag race na wewe.. from QC up to Mwl nyerer international airport..............................Sio powa, huwa natunia Peugeot s106 git inaspeed za kutosha pia ina balance nzuri huwa inanitia kichaa sana kwenye kona nalala nayo maziwa burudani kabisa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] fresh aina nomanimepoteza simu juzi kati hapo... ngojea... kuna DRAG race huwa tunazipanga pale QUALITY CENTRE QC.. mida ya saa 5 usiku... so nikifanya back up ya contacts zangu itabid tufanye event moja pale.. na nataka drag race na wewe.. from QC up to Mwl nyerer international airport..............................
hiyo PIJO ina jiko gani? (injini) na ina twinturbo au...[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] fresh aina noma
Hahaha tena sisi wapenda soka sex ina umuhimu wake... Kiuno kimyumbulikeKuna MTU hapendi pussy wala alcohol
Umesahau kitu kimoja ambacho ni addiction sana kinaitwa soccer
Groupe psa turbo 3 silinda sio kubwa sana ila kiasi flani inajiwezahiyo PIJO ina jiko gani? (injini) na ina twinturbo au...
Same[emoji122] [emoji122]Am real Addicted to success