what is wrong with mozilla firefox? kila wakati ina crash down... what should i do?

Excel

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
19,745
10,078
hellow experts,

naombeni msaada juu ya hilo tatizo!

natumia pc ikiwa na window7 as an OS.

cha ajabu kila wakati nikiingia kwenye mtandao hasa jf nikifungua nyuzi zenye picha, mozilla ina crash down. nimejaribu ku restart pc yangu lakini bado ina tatizo hilo hilo!

mpaka sasa imesha affect vlc media player mpaka internet explore!

nimeshajaribu kuiupgrade lakini bado tu inasumbua!!!
 
Mhhh mm niliamua kupiga window chini lkn wapi bado inazingua 2.
Ngoja tusubili wajuzi watujuze.
 
Tatizo hilo mara nyingi linasababishwa na adobe flash player ikiwa haipo uptodate na version ya hiyo mozilla.

Mfano unatumia Mozilla versin 15 au 16 na adobe flasher player unatumia verion 11. Yani new version hiyo ni sababu ya kwanza.

Unachotakiwa kufanya, ) chukua new version ya mozilla; mfano ingia mozilla.com chukua mozilla on line new version baada ya hapo ingia adobe.com chukua adobe flashplayer hiyo itakusaidia.

Sababu ya pili kuna baadhi ya program au games unazo install zinakuwa enable kwenye add-ons Manager ya mozilla mara nyingi zile zina sababisha kui crash mozilla jaribu kuziweka disable
 
hebu jaribu kuchange user acount halafu ingia kama guest tatizo bado lipo?

Mkuu mimi ni shida almost the same ila natumia google chrome. Ina tatizo lakucrush shockwave mara kwa mara hadi inakera. Sometimes unafungua browser tu inaanza kwa mkwara wa not responding hadi ikae sawa like 2minutes ndio inaendelea kupiga mzigo.
 
Mkuu mimi ni shida almost the same ila natumia google chrome. Ina tatizo lakucrush shockwave mara kwa mara hadi inakera. Sometimes unafungua browser tu inaanza kwa mkwara wa not responding hadi ikae sawa like 2minutes ndio inaendelea kupiga mzigo.

update chrome, sasa hv ni kama ie inasuport html 5 haihitaji tena flash. nenda kwenye extension kadisable flash na extension nyengine zisizo na maana.

flash ispokuwepo tatizo litaondoka
 
Back
Top Bottom