Nami kwa namna moja ama nyingine, niliwahi kujiuliza na kuuliza swala kama hilo humu pia, ila niliuliza tu, ilikuwa mwaka jana mwishoni Desemba 2015 niliuliza,
'Kwa nini muda huwa hautoshi?'
Sikupata majibu hata, maana watu walikuwa bussy na sikukuu. Nashukuru kumbe linawatatiza wengi hili suala la muda.
Ahsante!