Maana ya upinzani kwa Tanzania ni kukosoa lolote lile linalofanywa na chama tawala,halafu ukisha kosoa na wewe kama mpinzani ukikosolewa kwa jambo lolote hutakiwi kukubali kwani ukikubali tu utakuwa umekivunjia heshima chama chako.Kwa ufupi wengi tunaamini upinzani ni kuipinga serikali tu.