What is the real aim behind the campaign 'Stop Kony'?

What is the real aim behind the campaign 'Stop Kony'?

MwafrikaHalisi

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
1,741
Reaction score
512
Dear great thinkers I would love to know your thoughts on this. In two days, there has been a growing campaign online that aims to make Joseph Kony, a Ugandan rebel, famous. Yes, they want to make him FAMOUS so that appropriate forces (probably external forces, you know who) can be applied to STOP HIM. Kony has been using children as his soldiers to fight his war so the aim is to stop child abuse.

But I have doubts since Joseph Kony has been doing what he is doing for nearly ten years then why now? Is it because of the oil potentials that have been found or the whites have started to care?

Karibuni.
 
Wiki hii vyombo vingi vya habari vya kimataifa, vimeonyesha documentary ya Invisible Children, yenye lengo la kumfanya Joseph Kony kuwa maarufu na hatimaye kumkamata mwaka huu 2012.

Kwa kumbukumbu zangu Kony ametoweka kwenye media na Uganda kwa ujumla tokea mwaka 2006. Hapa najiuliza huyo Kony watampata vipi ilhali hajulikani ni wapi hasa maskani yake kwa sasa?
 
This is America project on occupy nothern Uganda. Hamna cha zaidi ni mafuta ya Uganda tu ndio yanatafutwa hapo> Joseph Kony sio wa leo. Koni anatumia siraha nzito kabisa, anatoa wapi hela za kununua hizo siraha. That is American economic hit man on the move
 
Wanatoa wapi siraha?. Don't be brain washed in such a way. There is a move to occupy Uganda for oil. Issue kama hizi ndio wazungu wanadharau Africa kuwa they never think?. Yes Kony is a problem but has been there for longtime, who ever bothered before?
 
Do you know why US-CIA created Al qaeda and AFRICOM? If you know why, then for the same reasons they have created two Osama bin Ladens(terrorists) in this area; Kony and Al shabaab.

Most interestingly US advisers, military, US NGOs and economic hitmen are all over Africa now!
 
Wanatoa wapi siraha?. Don't be brain washed in such a way. There is move to occupy Uganda for oil. Issue kama hizi ndio wazungu wanadharau Africa kuwa they never think?. Yes Kony is a problem but has been there for long time, who ever bothered before?

Una point lakini kony si mwafrika kwanini akate watu pua? watoto awa rape?

Hivi kweli hilo tunataka kuwa blame west?
 
Do you know why US-CIA created Al qaeda and AFRICOM? If you know why, then for the same reasons they have created two Osama bin Ladens(terrorists) in this area; Kony and Al shabaab.

Most interestingly US advisers, military, US NGOs and economic hitmen are all over Africa now!

kwanini wanakubali kuwa created? kwanini wanachoma nyumba za ndugu zao? bange au..
 
Una point lakini kony si mwafrika kwanini akate watu pua? watoto awa rape?

Hivi kweli hilo tunataka kuwa blame west?

I will never support Kony for all atrocities he committed to poor people in N. Uganda and now in Congo. Tatizo ni pale muda wote walikuwa kimya as if nothing happening in UG. Na sasa ndio wanakuja kwa kigezo cha kumkamata Kony huku nyuma wanasababu zao maalum. This is hypocricy to Africans and insult to Ugandans. Kama wanataka mafuta waingie tu mikataba na serikali ya Uganda ila sio kuja na propaganda, ambazo behind the curtain wanakuwa wanajisifia kuwa Africans never think, you can lie to them whenever you wish
 
Waganda si wameshindwa miaka nenda rudi jamaa anawatesa waafrika wenzake?

Kama wanataka mafuta na watamshika huyu jamaa ili aache ubardhuli wake naona ni fair deal..
 
Waganda si wameshindwa miaka nenda rudi jamaa anawatesa waafrika wenzake?

Kama wanataka mafuta na watamshika huyu jamaa ili aache ubardhuli wake naona ni fair deal..

Hapa kuna kitu kimoja ukielewe ndugu, Kony he have been always supported by US. He has been acting as a buffer zone between Uganda and South Sudan to prevent Ugandas supprot to John Garan. The weapons used by Kony has the hand from US. If US have been the ally on commiting such atrocities for decades, they don't have moral authoity to wipe out Kony on the map. This is just a new move of creating clean image to Ugandans, because of oil. Don't look to Kony as an individual, look on geo-political systems which created Kony for decades. Kony does not deffend any christian values, there is something underneath which never mentined in public and this is the American dream of world empire
 
Do you have the same opinion when it come to Alshabab?/Alqaeda?
 
Do you have the same opinion when it come to Alshabab?/Alqaeda?

Yes I have the same on point that, Alqaeda, they do not defending religious interest as it is claimed. Economic interest prevails. Alshabab they joined the alqenda rank recently. The issue is there a number of fundamentalist group and their interest varies according to time and space depending on their interest.
 
KONY 2012 - YouTube
Chukua muda kuangaa video hii, Sidhani kwamba Museven ameshindwa kumshugulikia mtu huyu ila inaonekea ni kwamba hajali maisha ya watoto.
 
sio kama ameshindwa ndugu yangu, huyo jamaa yupo hapo kwa maslahi ya wakubwa wachache. inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom