donlucchese JF-Expert Member Joined Mar 23, 2011 Posts 17,258 Reaction score 22,140 Mar 30, 2012 #1 napenda kufaham umuhimu wa ku upgrade firmware ya simu, nini custom firmware inafanya na jinsi ya kufanya upgrading. natumia samsung ch@t222
napenda kufaham umuhimu wa ku upgrade firmware ya simu, nini custom firmware inafanya na jinsi ya kufanya upgrading. natumia samsung ch@t222
Lussadam JF-Expert Member Joined Oct 13, 2007 Posts 1,428 Reaction score 1,005 Mar 30, 2012 #2 mzeewaloliondo said: napenda kufaham umuhimu wa ku upgrade firmware ya simu, nini custom firmware inafanya na jinsi ya kufanya upgrading. natumia samsung ch@t222 Click to expand... Pamoja na mambo mengine firmware inapotolewa mpya, kuna vitu kama kurekebisha mapungufu,hii inapotokea pia apps zinakuwa upgraded.kama ukiamua kubaki na firmware yako utashindwa kutumia some apps ambazo zinakuwa compatible na the newer firmware.
mzeewaloliondo said: napenda kufaham umuhimu wa ku upgrade firmware ya simu, nini custom firmware inafanya na jinsi ya kufanya upgrading. natumia samsung ch@t222 Click to expand... Pamoja na mambo mengine firmware inapotolewa mpya, kuna vitu kama kurekebisha mapungufu,hii inapotokea pia apps zinakuwa upgraded.kama ukiamua kubaki na firmware yako utashindwa kutumia some apps ambazo zinakuwa compatible na the newer firmware.