What is the difference between making love and having sex


Haa ha bana kitendo hapo mwisho wa siku ni kimoja ila tofauti zipo kwenye mtazamo

Tendo linalofanywa kwnye ndoa,ngono ni lile lile sema la mwanandoa limehalalishwa
 

Habari ipo kwenye hii link:
http://www.diffen.com/difference/Have_Sex_vs_Make_Love

Wana JF tukiazima mawazo toka sehemu nyingine angalau tuonyeshe hivyo. Vinginevyo yataonekana ni ya kwetu. Hapo itakuwa ni tatizo
 
Mmmh.vyote s kugegedana tu

..em kutana na mtu, akutongoze, umpe tunda alafu awe 'anakutaka' siku akikisikia...asipojisikia hata SMS hupati...
..alafu kutana na huyu kijana, akutongoze, akutoe out za hapa na pale, akupe vizawadi mara kwa mara, siku ya kula tunda akupeti kwa vijisms vya mahaba, akuletee шоколад...ndo mmegane

yupi utamfurahia zaidi..
 

Hayo maelezo tu.m nmekujbu swal lako...
 
sex is great but making love is better.
sex is the act of intercourse you dont have to love the person your having sex with.
making love is filled with emotions, it is much more of a connection.
 
Thank you Sir, there is a huge difference between having sex and making love. Making love is something very very special.


 
Last edited by a moderator:
Wabongo kwa hii fani theoretically mpo juu sana. ila vitendo sina uhakika. Tofauti ya maneno haya ipo kwene akili ya anayetenda tendo hili. So huwezi kuchora mstali kuwa huku ni sex na huku ni love making.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…