Sijawahi kumdanganya yeyote humu...ila pia usipowadanganya hawa warembo wa huku kuwapata sahau....!
Men jus lie to women
Jua kuzama kwenye matope na kwenda kusujudu huu sio uongo ni upumbavu
Wewe kenge hujawahi pakatwa?Acha shobo mtoto wa kiume utapakatwa sasa hivi uanze kulia