Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,373
- 8,282
Hivi nyimbo gani iliimbwa na wasanii kumsifia rais yyt alopita. Hebu tuappreciate kidogo basi juhudi za rais wetu. Nyie mawe kweliMimi mwenyewe nimesikia jana nandy katoa wimbo anamsifia magu!poor us!
Nani yuko nyuma ya haya!? Au wanalipwa!?
HaaahahahaaahaaahaMtoto mdogo anaimba hata asivyovijua!
anafukuzia mchele wa shows za uchaguzi 2020, OVERNani yuko nyuma ya haya!? Au wanalipwa!?
Haaahahahaaahaaaha
4.Sugu1. Harmonize
2. Mondi
3. Nandy
4. ?
ft prof jay4.Sugu
akizeeka atakua mchawiMtoto mdogo anaimba hata asivyovijua!
Hhhhahahahha hapa nimecheka..hahahaajjaNabii Tito naye yuko Studio anarekodi nyimbo yake ya kumtukuza Meko.
Polepole &the co!manengelo,
Nani yuko nyuma ya haya!? Au wanalipwa!?