Ile ni brotherhood na sio party...kwa akili yako ukiambiwa chama unajua ni cha siasa....
Tusidanganyane hapa. Na ndipo ujanja ujanja wenu unapogundulika kwa watu makini..! Ulilosema na ulilokata vyote ni vimoja katika nia moja ya kupata wafuasi wenu. Utawezaje KUSHAWISHIKA bila kushawishiwa?? Mnawashawishi watu mpaka kufikia KUSHAWISHIKA kwa kutumia nyenzo mbalimbali mfano UTAJIRI nk. Hauoni hapo mmeshawishi. Sema mnashawishi indirectly na maagent wenu wanafanya directly. So ulilokata ndio mnafanya sanaNimesema "KUSHAWISHIKA" mkuu sioKUSHAWISHIWA.
Tusidanganyane hapa. Na ndipo ujanja ujanja wenu unapogundulika kwa watu makini..! Ulilosema na ulilokata vyote ni vimoja katika nia moja ya kupata wafuasi wenu. Utawezaje KUSHAWISHIKA bila kushawishiwa?? Mnawashawishi watu mpaka kufikia KUSHAWISHIKA kwa kutumia nyenzo mbalimbali mfano UTAJIRI nk. Hauoni hapo mmeshawishi. Sema mnashawishi indirectly na maagent wenu wanafanya directly. So ulilokata ndio mnafanya sana
kuhusu freemason huna cha kunieleza wewIle ni brotherhood na sio party...
Kua muelewa mkuu
kuhusu freemason huna cha kunieleza wew
Hahaaa jamaa ni ignorant na bado mbishi..kuhusu freemason huna cha kunieleza wew
Matapeli haoje wale wabandika matangazo mitaani kuwa jiunge freemason ni matapeli ?
Jamaa anajua hawa 'Wa mitandaoni' halafu mbishiDah mkuu ...kwanza sio chama kile
Yan jamaa story zake za vijiwe vya kahawa kuhusi freemanson ndio anatuletea akilazimisha tukubaliJamaa anajua hawa 'Wa mitandaoni' halafu mbishi
Si ajabu ndio hao wanaotangaza kuwaunga watu kwa wanachokiita 'chama'...Yan jamaa story zake za vijiwe vya kahawa kuhusi freemanson ndio anatuletea akilazimisha tukubali
sawa..mwenzako mmoja kaja pm..ataleta mrejesho akipenda..we unaleta ujinga wa kugoogle akat huna ata mtu wa karibu ambae ni member...au ulijua ukiweka kingereza ndo utantisha.?? estupideHahaaa jamaa ni ignorant na bado mbishi..
yeah ni kweli..ila iyo kuamini uwepo wa mungu ni brainwashing..uhalisia hauko ivo,,,ukiingia kule maanake umemuuzia shetani nafsi yako..either akupe pesa,,umaarufu,akuponye gonjwa fulani,,upewe nguvu,,usizeeke,,,n.k...wanasema uamini uwepo wa mungu ili kuwaondolea hofu wanaotaka kuingia,ukiingia ndo unapewa kiapo kila ngazi unayopanda,,,,hatariiZile rituals zao zinakuwaje? Zinaendana na mafundisho na maagizo ya Mungu?
Na kuacha makusanyiko ya grand lodge zao, je wanaweza kwenda kwenye majumba ya ibada kama kanisani au msikitini? Maana naona umeandika hapa kuwa mwanachama anatakiwa awe anaamini uwepo wa Mungu na kuendana na mafundisho yake.
sawa..mwenzako mmoja kaja pm..ataleta mrejesho akipenda..we unaleta ujinga wa kugoogle akat huna ata mtu wa karibu ambae ni member...au ulijua ukiweka kingereza ndo utantisha.?? estupide
Mkuu wale jamaa sio lazima kuamini huyu Mungu ... wao wanataka mtu anaueamini katika uwepo wa Supernatural being..Zile rituals zao zinakuwaje? Zinaendana na mafundisho na maagizo ya Mungu?
Na kuacha makusanyiko ya grand lodge zao, je wanaweza kwenda kwenye majumba ya ibada kama kanisani au msikitini? Maana naona umeandika hapa kuwa mwanachama anatakiwa awe anaamini uwepo wa Mungu na kuendana na mafundisho yake.
Freemason kujiunga ni kwa aina mbili kwa kupitia referral toka kwa mwana memba au wewe mwenyewe kuenda kufanya maombi ya kujiunga wale wa mtaani ni waongo watupuje wale wabandika matangazo mitaani kuwa jiunge freemason ni matapeli ?