What if Freeman Alkaeli Mbowe was Compromised?

Mbowe aliiombwa na Rais naye akakubali wito.
Na baada kumaliza kila mmoja yaani Rais na Mbowe walitoa hutuba na walichongea kilieleweka vizuri
Wanaoteseka waacheni kwani ndo sehemu yao ya maisha
 
Compromise itadhibitishwa huko mbeleni tukiona mabadiliko yanayotia Shaka. Kwa Sasa hakuna ushahidi wa compromise.

Hoja nzuri. Muda utajibu
 
Mbowe aliiombwa na Rais naye akakubali wito.
Na baada kumaliza kila mmoja yaani Rais na Mbowe walitoa hutuba na walichongea kilieleweka vizuri
Wanaoteseka waacheni kwani ndo sehemu yao ya maisha

That’s it?
 
In any case, kwa mtu anayeifahamu CHADEMA atajua kuwa hakuna mtu anayeweza kukiondoa chama hicho kwenye ajenda zake muhimu. No one. Chama kimeshakuwa kikubwa kuzidi mwanachama yeyote mmoja mmoja (any individual).

Mbowe anaifahamu CHADEMA kikamilifu. Mchango wake kukifikisha chama kilipo leo hii haumithiliki. Ndio legacy kuu ya maisha yake. There’s no way he can be compromised to undermine CHADEMA. Na anajua hilo haliwezekani.
 
Alienda peke yake sababu alifungwa na kuteswa peke yake kama kiongozi wa siasa
 
I honestly hope so too
 
Hakuna Chama CHADEMA ila kuna Chama Mbowe
 
I honestly hope so too
Take it as fact. Wote walioigeuka CHADEMA wamepoteza credibility; sauti zao zinapuuzwa na jamii. Chama kinaenda from strength to strength. Mbowe is smart on that.
 
Take it as fact. Wote walioigeuka CHADEMA wamepoteza credibility; sauti zao zinapuuzwa na jamii. Chama kinaenda from strength to strength. Mbowe is smart on that.

I can’t agree more
 
What if he has compromise the compromiser ?

Kwangu mimi the ifs and what's do not matter bali the deeds..., kwahio tamuhukumu kwa matendo na sio shutuma / assumptions

Pia compromisation ni ipi hasa ?, Kosa tunalofanya ni kusahau tunajenga nchi moja na inabidi Mtanzania awe mzalendo / msimamizi wa Tanzania na sio Taasisi wala baadhi ya wao au sisi...., Hence ninaangalia deeds na ninahukumu case by case basis...

That's my Humble Opinion
 
Ni kutoa shukurani, wangeweza mfunga hata kama hakuna kesi
 
A good line of thinking
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…