What I don't accept is interference - President Paul Kagame, Rwanda

murutongore

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2013
Posts
2,051
Reaction score
639

Paul Kagame President, Rwanda. Photo©Vincent Fournier for TAR
​




jMali Koba Commanche MGOSI132
 
Very good interview. I think,we may not agree with Kagame sometimes,but he is an excellent leader. Moreover, i think Africans cant or don't understand democracy. Democracy isnt not for us per say. Its the true ,lets face it and move on.






The king.
 
I may not agree with Mr President on one thing. Tulipokaa kimya kuhusu Rwanda, when we did not interfere hundreds of 1000s got killed, if we do so now, it will not be different. Leo jumuiya ya kimataifa inalaumiwa kwa kutoingilia.
 
Damned if you do damned if you don't...

I may not agree with Mr President on one thing. Tulipokaa kimya kuhusu Rwanda, when we did not interfere hundreds of 1000s got killed, if we do so now, it will not be different. Leo jumuiya ya kimataifa inalaumiwa kwa kutoingilia.
 
Kagameee akifa mimi siwezi kuliaaa nitamtupa rusumo aweee chakula cha mambaaaa
 
Time seems to be his worst enemy , if you ask me. Nothing else.
 
Tumekusikia Kagame kuwa utaheshimu katiba na kuwa huhusiki kuibadilisha...so technical....so tunajua kina murutongore wataibadilisha na wewe kwakuwa unaiheshimu utaendelea kuwa mfalme milele. Ila ukumbuke kuwa njia uliyoingilia ndiyo utakayotokea.
 
Last edited by a moderator:
weka source kwanza kabla hatujaanza kujadili isije ikawa umemuinterview mwenyewe!
 
I may not agree with Mr President on one thing. Tulipokaa kimya kuhusu Rwanda, when we did not interfere hundreds of 1000s got killed, if we do so now, it will not be different. Leo jumuiya ya kimataifa inalaumiwa kwa kutoingilia.
ahahahahahaa mlikaa kimya wakati watusi wakiuwawa,sasa mnapaza sauti kutetea walioua watusi.
 
ahahahahahaa mlikaa kimya wakati watusi wakiuwawa,sasa mnapaza sauti kutetea walioua watusi.
Kwa hiyo unaona kwa kuwa tulifanya ujinga mara ya kwanza, tutakuwa na akili tukifanya ujinga mara ya pili? hakuna anayemtetea aliyeua watusi.

Murakoze this is where the problem is. I can assure you Tanzania in not a friend of FDLR, neither our President nor his wife are hutus, or hutu sympathizers.
 
Kagame huyu sio yule wa kipindi kile ambapo alikuwa anapendwa na kila mtu. Reading between the lines, unagundua kabisa kuwa Kagame na serikali yake ndio ilioua Karegeya na iko tayari kumuua Nyamwasa na Kagame haonekani kujuta. Pia unagundua Kagame hayuko tayari kusikia ''mawazo mbadala'' ya jumuia ya kimataifa juu ya kutatua matatizo ya Rwanda, once and for all! Anataka dunia nzima waimbe wimbo alitunga mwenyewe na beats alizoziweka yeye.

Kagame kachoka fikra, kachoka kuongoza amebaki na nguvu za kutawala tu kwa sababu anaogopa hata kivuli chake.
 

Well said Mkuu, again reading between the lines - Mkulu huyu aonyeshi dalilli za kuondoka madarakani come 2017, nakwambia regime yake itajenga mizengwe ya kuhadaa dunia kwamba Wanyarwanda wamehamua hawe President 4 life, kwa hiyo naye atajitia kuridhia matakwa ya walio wengi - usanii mtupu; hapa nataka nisieleweke vibaya, hakuna anaye beza beza mchango wa PK kuendeleza Taifa lake kwa hilo nampongeza sana - asifanye ujanja wa kutaka kutawala milele, kwa kuhofia kwamba wenzake wanaweza kumugehuzia kibao akihondoka madarakani yakajirudia yale yale ya Chiruba na Mwanawasa.
 
kwataarifa yako hivi ndiyo anapendwa sana kuzidi wakati ule unaosema.
 
Huu ndio ujinga wa waafrika,mkipata kiongozi mwenye uwezo wa kuongoza na kuleta mabadiliko kwa wanainchi wake na uchumi wa nchi kwa ujumla wao hukaa wakifikiria ataondoka lini,badala ya kufikiria tutafanya nini ili aendelee kutuongoza.
 
ahahahahahaa mlikaa kimya wakati watusi wakiuwawa,sasa mnapaza sauti kutetea walioua watusi.

1. mlipopinduliwa mfalme wenu kigeri tulimhifadhi hapa for 2 years.
2. Raia wa kawaida tukawahifadhi hapa na hata kuwapa uraia miaka ya 70, nadhani mtu kama wewe unazaliwa na hawa "watanzania".
3. Mlipoanza chokochoko zenu wenye busara wakajua tu watutsi watauawa, hivyo tukaweka mazungumzo kati yenu na Habyarimana Arusha mwaka 94 kuleta amani, lakini hata hivyo Kagame akatungua ndege, kilichofuata unajua.
4. Tukaweka mahakama ya kimbari ICTR hapa Arusha.

Hivi kwa haya yote, kati ya wahutu na watutsi nani inaweza semekana Tanzania inampendelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…