UKWELI mchungu, umemaliza kaka,big up!. Seminari hizi ndio sehemu Ya kujifunzia ufisadi NA roho mbaya. Kila ufisadi nchi hii ni Hawa watu. Madaktar wengi wametokea shule hizo. Wamekuwa wakatili kipitiliza! Hivi inakuaje unamuona mgonjwa anateseka hadi anafika kufa kwa kukosa matibabu unamuacha humsaidii kwa kuwa unaidai serikali mshahara mkubwa, kama Si roho mbaya/ukatili ni nn?!