M mtoniz Member Joined Apr 4, 2015 Posts 23 Reaction score 8 Jul 21, 2015 #121 Lazima itakua kabla ya ndoa mlikua mkifanya sex sana,hamu imeondoka baada ya kufunga ndoa.
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,801 Reaction score 43,177 Jul 22, 2015 #122 Watu8 said: Hahaha....hao mapacha hebu wachagulie majina kabisa Kasie... Click to expand... Robert and Roberta............!!! andaa mbegu tena iwe bora iliyonona
Watu8 said: Hahaha....hao mapacha hebu wachagulie majina kabisa Kasie... Click to expand... Robert and Roberta............!!! andaa mbegu tena iwe bora iliyonona
kipozi JF-Expert Member Joined Jan 23, 2015 Posts 1,314 Reaction score 1,704 Jul 22, 2015 #123 Pole sana waone wataalam wa mahusiano na psychologia kama kina chris mauki watakusaidia ilo tatzo sio dogo fanya utatuz haraka asiende kwa mchepuko maana akienda uko umekwisha
Pole sana waone wataalam wa mahusiano na psychologia kama kina chris mauki watakusaidia ilo tatzo sio dogo fanya utatuz haraka asiende kwa mchepuko maana akienda uko umekwisha