What happened to Uhuruto's one laptop per child project?

Jubilei will provide 5 New SuperModern, World class Stadia in Kenya in 5years
Aisee wakenya ni Mafala sana
Wakenya ni mafala, kwanini basi Kenya ndo ina uchumi mkubwa zaidi E.A? Thamani ya shilingi yetu inaendelea kuongoza E.A? Sisi na ufala wetu tuna SGR mpya. Tz mmeshindwa hata kuandika katiba mpya bure kabisa.
 
Nyie ni Mafala, mnapikiwa Data za Uchumi na Kina William na mmekenua tu meno,
Hata hizo overpriced oldy rail & Garimoshy mmejengewa na Wachina 100%, hata sasa hamna chenu hapo,
Serikali yanu ni ya wezi na wakurupukaji sana,
Narudia tena nyie ni mafala ndio maana mmetawaliwa na Kabila moja tangu mpate uhuru, and fyi Gikuyu watatawala Kenya milele.
Mnajifanya wajuaji halafu mnadondokea pua
 
Nyie ni Mafala, mnapikiwa Data za Uchumi na Kina William Ruto na mmekenua tu meno,
Hata hizo overpriced oldy rail & Garimoshy mmejengewa na Wachina 100%, hata sasa hamna chenu hapo,
Serikali yanu ni ya wezi na wakurupukaji sana,
Narudia tena nyie ni mafala ndio maana mmetawaliwa na Kabila moja tangu mpate uhuru, and fyi Gikuyu watatawala Kenya milele.
Mnajifanya wajuaji halafu mnadondokea pua
Mimi mwenyewe mkikuyu sasa unaniambia watatawala milele unataka nilie? Ningebishana na wewe lakini nangoja 2030 kwanza nione kama mtafanikiwa kutoka kwenye orotha ya LDC nchi maskini zaidi duniani na zisizojielewa. Naona hata wewe umejawa na frastreshen. Hehe!
 
Haya cheka sasa, what a selfish tribalistic Gikuyu Thief!
 
So let me get this straight, magufuli is busy banning pregnant teenagers from attending school but the bongolalas here would rather laugh at Uhuru for trying(and failed) to provide laptop and/or textbooks to ALL Kenyan school kids?

See y'all think it's funny till a study comes out and says Kenya has higher literacy rates than Tanzania or a Tanzanian company hires a Kenyan over a bongolala simply because of the Kenyan education.
 
Magufuli akuje achukue ng'ombe wake wa kukamua wamejaa humu Jamiiforums
 
Back
Top Bottom