joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Wote tulitegemea angeshinda kutokana na rekodi yake ilivyonzuri, kushika nafasi ya 8 kwa mtu kama yeye ni jambo la kushitusha na kusikitisha Sana, tunashangaa kusikia kuna watu wanatetea "very poor performance from a legendary person like him", wakenya lazima mjifunze kusifia pale penye jambo zuri, na kulalamika pale penye tatizo, sio kila kitu mnasifia hata pesa ya Corona ilivyoibiwa pia mlisifia.Dah baadhi ya wabongo mna wivu kupindukia. Eti leo mnambeza Eliud kisa eti hakushinda? Alafu wakati alipovunja ile rekodi ya INEOS 1:59 hamkumpongeza. Tena yupo kwenye Top 10, nafasi ya 8 na muda wa 2:05:41, kwenye mbio ambazo hakuna mwanariadha aliyenusia rekodi yake ya 02:01:59(official). Hata bila majeraha kwenye michezo performance ya mtu kubadilika ni jambo la kawaida, acheni huo uchawi wenu.
Meanwhile kwa kina dada mkenya Brigid Kosgei, ambaye ndiye aliyeshinda mwaka wa 2019, aliibuka wa kwanza kwa mara ya nne kwenye London Marathon. Tena aliwaacha wanariadha wengine wote nyuma na mwanariadha wa pili alimaliza mbio dakika 4 baada ya Brigid. Mkiona 
