SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 50,088 Reaction score 75,524 Oct 24, 2016 #21 Kibo255 said: Lipumba kweli Mungu kasikia kilio chake watu walikuwa wanamshangaa ni msomi Wa Namna gani haya sasa amepata wasomi wenzake wengine watatu makame ndalichako Na maige hao ndio wasomi wetu kwa hiyo usishangae ata kidogo Click to expand... Kumbe wako wengi na wote watoka lile chama chakavu.
Kibo255 said: Lipumba kweli Mungu kasikia kilio chake watu walikuwa wanamshangaa ni msomi Wa Namna gani haya sasa amepata wasomi wenzake wengine watatu makame ndalichako Na maige hao ndio wasomi wetu kwa hiyo usishangae ata kidogo Click to expand... Kumbe wako wengi na wote watoka lile chama chakavu.
I Idofi JF-Expert Member Joined Dec 14, 2010 Posts 2,294 Reaction score 2,008 Oct 24, 2016 #22 Ma DR na ma Pro. wa Tanzania wanatia aibu sana kujidhalilisha sababu tu ya siasa/njaa. Ni aibu kubwa sana
Ma DR na ma Pro. wa Tanzania wanatia aibu sana kujidhalilisha sababu tu ya siasa/njaa. Ni aibu kubwa sana
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,262 Reaction score 18,711 Oct 24, 2016 #23 ushetani huu