Huyo ndo bwana Magoti anaenda rasmi kazini Bank Of Tanzania.
Ama kweli hakuna aijuaye kesho.
Big up kwa wanawake ambao wako na majamaa zao waume zao kwa hali yoyote hadi walipofikia hapo walipo na bado wako pamoja... Big up kwenu.
Sasa hivi atapata marafiki wa kufa mtu ( maana hapo kwenye pics kundi kubwa linamsindikiza job[emoji16] [emoji16] [emoji23] [emoji23] [emoji23] )...awe makini asee ikibidi adeal na wale aliokuwa anashare nao upupu!
kwenye maisha kuna kupanda na kushuka. Cha muhimu ni kuvumilia. Lkn pia yatupasa kujipanga wakati tuwapo kazini ili hata mtu ukiacha kazi unakuwa na unafuu kidogo.