ghostmahoka
Member
- Dec 16, 2016
- 30
- 56
In any intelligence institution it's a known fact that there will arise a select few who will betray one's loyalty to the institution or country. There are agents whose main goal is to scout for possible 'rats' just as others main goal is to recruit agents from rival institutions so as to be stealing sensitive intelligence data for them. They are called Handlers. What exactly makes one to opt to accept to be a double agent despite knowing the risks involved upon being caught?
The link below is a video about a certain Agent/Diplomat from usa who was supposedly caught in russia trying to recruit a double agent some time back and really got the world astonished. Pay attention to the amount of money being offered. If it was about the money why did the double agent set him up for capture by the russians? Huku kwetu what does it take to turn one agent to work for the enemy or another country?
Bora umesemaKuna ulazima wa kuandika kwa kimombo?
Wes z_ CFC. CX ext fIn any intelligence institution it's a known fact that there will arise a select few who will betray one's loyalty to the institution or country. There are agents whose main goal is to scout for possible 'rats' just as others main goal is to recruit agents from rival institutions so as to be stealing sensitive intelligence data for them. They are called Handlers. What exactly makes one to opt to accept to be a double agent despite knowing the risks involved upon being caught?
The link below is a video about a certain Agent/Diplomat from usa who was supposedly caught in russia trying to recruit a double agent some time back and really got the world astonished. Pay attention to the amount of money being offered. If it was about the money why did the double agent set him up for capture by the russians? Huku kwetu what does it take to turn one agent to work for the enemy or another country?
Hapa ndio patamu mkuu, mnakuwa mna uhakika gani Kuwa anawapa false information? Mnamwandikia asome? Je mna uhakika gani kwamba anapeleka hiyo info kwa Taasisi yake na sio rafiki yake? Mnakuwa na uhakika gani kwamba info anazowapa ni sahihi na sio za uongo?Agent anaweza kugundulika.
Mfano anaifanyia kazi serikali ya kenya sasa labda tumemkamata. Ili awe safe tunampa condition afanye kazi na sisi hivo anawageuzia kibao waliomtuma pasipo wao kujua.Hivo kule alikotoka anakuwa ana feed false information
Hapa ndio patamu mkuu, mnakuwa mna uhakika gani Kuwa anawapa false information? Mnamwandikia asome? Je mna uhakika gani kwamba anapeleka hiyo info kwa Taasisi yake na sio rafiki yake? Mnakuwa na uhakika gani kwamba info anazowapa ni sahihi na sio za uongo?
Kuna tele novel moja niliiangalia agent mmoja alitiwa nguvuni na maadui na kumlazimisha apige simu kwa familia yake na ofisini kwake, sasa huyo mpokeaji anakuwa na simu nyingi juu ya meza (mfano simu namba 1=dada, namba 2 kaka ,namba 3 mama, namba 4= manzese restaurante) yaani kuna mtu kazi yake ni kupokea simu tu, ana uwezo wa kuongea sauti ya kike na ya kiume, na huwa ni sign kwao kwamba agent wao yuko salama au matatizoni na wanachukua hatua ya haraka kumsaidia pale wapigiwapo simu.
Mnawezaje kumwamini mtu anayeisaliti nchi yake?
Nalog off
Mkuu ukiona hivyo ameshindwa kutoa tafsiri hivo ametupia zima zimaKuna ulazima wa kuandika kwa kimombo?
[emoji1] [emoji1]Sasa we mtoa mada unachapa ki english hapa maana yake nini bana?kaa na mada yako mwenyewe
Teh teh teh [emoji1] [emoji1]Sasa we mtoa mada unachapa ki english hapa maana yake nini bana?kaa na mada yako mwenyewe
Ndo dawa yenu.😀😀😀 Huwa nacheka gazeti la citizen huwa sioni hata comment moja kwenye mtandao. Ila nenda BBC kiswahili au Mwananchi mitusiii imejaaSasa we mtoa mada unachapa ki english hapa maana yake nini bana?kaa na mada yako mwenyewe
kaikopi sehemu ila kajisahaulishaSasa we mtoa mada unachapa ki english hapa maana yake nini bana?kaa na mada yako mwenyewe
Mkuu ukiona hivyo ameshindwa kutoa tafsiri hivo ametupia zima zima
Agent anaweza kugundulika.
Mfano anaifanyia kazi serikali ya kenya sasa labda tumemkamata. Ili awe safe tunampa condition afanye kazi na sisi hivo anawageuzia kibao waliomtuma pasipo wao kujua.Hivo kule alikotoka anakuwa ana feed false information
Boss huyo triple agent lazima atakuwa na exceptional skills hadi aweze kubalance three masters kwa wakati mmoja. Hapo pesa pekee haitoshi maana risk ya yeye kukamatwa na kuuliwa ni kubwa ila akifanikisha mission zake zote salama lazima atakuwa one of a kindKuna nchi zina sheria kali kwa mtu wanayemshika anafanya ujasusi.Unaweza hata kuuwawa hivo jasusi aliyeshikiliwa anaambiwa achague kifo au kuwasaidia waliomkamata kufanya ujasusi kwenye intelligence agency yake na anakuwa controlled
Pia pesa inaweza kumfanya agent akaifanyia uhaini nchi yake.
kuna yule jamaa alikuwaga FBI ya marekani alikuwa anatoa siri kwa shirika la kijasusi KGB la Urusi.
Motivation yake kubwa ya kutoa classfied information kutoka FBI ilikuwa ni pesa.
Iko hivi mfano mimi niko kwenye intelligence agency fulani agents wa agency nyingine wanakuaproach na kuhaidi kukufaidisha iwapo utakubali kuwapa classfied information kutoka kwenye agency yako.
Hivo agency yako inakuwa target ya kufanyiwa espionage.
Kwa kufanya hivi unakuwa double agent umeajiriwa na agency yako at the same time wewe ni asset wa agency inayoifanyia ujasusi agency yako hivo unakuwa kwenye payroll yao.
Ukiachana na double agent kuna mpaka triple agent.