He is a technician electronic engineer (kwa diploma yake ya kwanza)
He is a finance specialist with expertise in administration and entrepreneurship (kwa shahada yake ya kwanza ya finance and MBA pamoja na PGD).
Kama unazungumzia taaluma, shahada ya kwanza ndio inampa mtu taaluma, shahada ya pili ni ya kuongeza ujuzi katika mambo mengine zaidi, yanaweza yakahusiana na taaluma husika aliyosoma shahada ya kwanza au isiwe hivyo, mfano ni hiyo ya MBA na PGD. Diploma ya electronic engineering pia inampa taaluma husika katika ngazi ya fundi mchundo.