Kuwekwa kwenye social media sio kupendwa ila kumweka mwingine ilihali Wewe Ulikuwa hauwekwi Kuna walakini Labda Wewe hukupendwa.Halo Daby,fine ? Nauliza kwanini au inakuwa vip una boy friend mnapendana saana lakin hataki kuweka relationship Status kuwa you are together, but after being apart ndo anaweka picha kwenye social media kuwa Ana mwingine na yako hajawi eka, na ilikuwa wamsihi daily aeke,
Ni kwanini au utajiskia aje ? Kuona anaweka ya mwingine baada ya kuachana wakati he never did it wakati yuko nawe
It means wasiowekwa wabovu wa nn mfano?Kuwekwa kwenye social media sio kupendwa ila kumweka mwingine ilihali Wewe Ulikuwa hauwekwi Kuna walakini Labda Wewe hukupendwa.
Lingine fb dp zinafit Watoto wazuri man'ganyuu wa kuuzia. Pia huwenda asiyewekwa ni mbovu.
Kuna majibu mengiIt means wasiowekwa wabovu wa nn mfano?
Hehehehe umejibu fantastically, very true but I can't be yours as I have HIVKuna majibu mengi
-Mbaya
-hupendwi
-hapendi show-off
-hayapo akilini mwake Mambo ya kuwekan dP
-mpo wengi mtajuan n.k
La muhimuKama unataka kukaa dp Njoo kwangu nitakuweka kwenye ile account yangu ya badoo sitakuangusha kwa hili.
Sio Tatizo kwangu kikubwa ushauri nasaha tu.Hehehehe umejibu fantastically, very true but I can't be yours as I have HIV
Rose umetuchanginyi kwa hiki kinyanglish chako 😳Your ex boyfriend wouldn't put up photos of you together on Facebook (even when you expressed that you wanted them to after they never would) and hid the in a relationship post from their Facebook timeline while with you, yet does this immediately with the person he is seeing now?
Why do ex's refuse to put information on their Facebook account with you while you are in a lengthy relationship with them, but do it instantly with the next person that they get with?
My question is: Why is he willing to share this information on her Facebook immediately with the new guy he is seeing, but refused to with me?
your answer will help a lot,
Mbona kawaida duhRose umetuchanginyi kwa hiki kinyanglish chako 😳
HahahahaaSio Tatizo kwangu kikubwa ushauri nasaha tu.
Hebu anza upya maana nahisi hukuwa na utulivu wakati unapanga mada yako hiiYour ex boyfriend wouldn't put up photos of you together on Facebook (even when you expressed that you wanted them to after they never would) and hid the in a relationship post from their Facebook timeline while with you, yet does this immediately with the person he is seeing now?
Why do ex's refuse to put information on their Facebook account with you while you are in a lengthy relationship with them, but do it instantly with the next person that they get with?
My question is: Why is he willing to share this information on her Facebook immediately with the new guy he is seeing, but refused to with me?
your answer will help a lot,
Mmh?! Mwenzio nilihisi kizunguzungu..hebu angalia tena mpangilio wa mada yako 😵Mbona kawaida duh
Nilikuwa nimepanic, how comes you x alikuwa aeki picha zako kwa social media hata umbembeleze lakin baada ya kuachana anaweka za waliyewote nowHebu anza upya maana nahisi hukuwa na utulivu wakati unapanga mada yako hii
Sasa nimekuelewa..nafikiri mmeachana katika hali ya kuchukiana..huyo anataka kukuumiza moyo wako na amekusudia kuweka hivyo kutaka uone..I think mission yake imepasi ndio maana ukaumia mpaka ukaamua kuanzisha uziNilikuwa nimepanic, how comes you x alikuwa aeki picha zako kwa social media hata umbembeleze lakin baada ya kuachana anaweka za waliyewote now
Mara ya kwanza nilijua unatutania kwa ulivyoandika. Ulivyo mjibu Daby kwa kiswahili nikajua upo serious. In short English yako iko poa kwa level za watanzania wengi, endelea kusoma novel na movie za kizungu sio za kikorea[emoji12]Your ex boyfriend wouldn't put up photos of you together on Facebook (even when you expressed that you wanted them to after they never would) and hid the in a relationship post from their Facebook timeline while with you, yet does this immediately with the person he is seeing now?
Why do ex's refuse to put information on their Facebook account with you while you are in a lengthy relationship with them, but do it instantly with the next person that they get with?
My question is: Why is he willing to share this information on her Facebook immediately with the new guy he is seeing, but refused to with me?
your answer will help a lot,
Ndo maana nyuzi zake huyo huwa sichangii, mambo ya kishikishana dictionary ya nini wakati huu ni muda wa kufurahia jfMara ya kwanza nilijua unatutania kwa ulivyoandika. Ulivyo mjibu Daby kwa kiswahili nikajua upo serious. In short English yako iko poa kwa level za watanzania wengi, endelea kusoma novel na movie za kizungu sio za kikorea[emoji12]
Daby kakujibu vyema sana.
Naona Daby alikulistia mambo kibao kukupa maana ya 'Mbovu'. Nikurahisishie 9/10 times when a man says yule mwanamke mbovu, ujue huna mvuto wowote.
Nikupe mfano tu, mimi nilisha date girls wengi ila ambao nimewaweka kwenye social media ni wanne tu. Na sijawaho kuwafuta even though nipo na another girl. Why is that?
Dunia ina mapambo yake, ukiacha Nyumba, Pesa na Magari, ni Wanawake. Wanaume tunapenda sana kushowoff what we got. Binafsi niliwapost hawa wanne maana walikuwa visu kwa mtazamo wangu. Wengine walikuwa wa kawaida.
Don't feel bad, why is that?
Kuna kupenda kwa aina nyingi, binafsi, wale wadada niliowapost wengi walikuwa na tabia za ovyo ovyo, lakini walikuwa na mvuto wa nje. But the girls who I really liked nina imani most of the men here wangewapita barabarani bila hata kuwaangalia. Wala usijali, usikute hao aliowapost ni macapult ukicompare na wewe. Sema tu ni ile jamaa anataka aonekana nae anadate visu.
-callmeGhost
MhhhJibu ni kwamba,guys seems girls ur like car tyles,lazma uwe na spea ,na tyle linalotumika ,hawez kukupost wkt ayuko na future na wee,anampost the former baada ya kubreak up na wew kukuonyesha kwamba u were a spair to him.
ThanksI could hardly discern your question. Perhaps, you should review your thread before you can rewrite it in more eloquent and understandable form......