What do you miss about your ex?

Sababu ya kuachana ni nn?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo wake aliwahi hadi kunidanganya ana mimba asee, Cjawahi kukutana binti muongo kiasi hicho tena akianza kulia hadi utaenda kubembeleza ila wanawake mungu anawaona.
 
Namiss kuambiwa "We endelea tu na vijichepuko vyako,hata unifanyie nini mi nakupenda ivo ivo"
Huyu wa sasa nakoma kumjua ila simwambii,yani nabanwa kiasi kwamba marafiki wanajua naumwa kumbe nimefungiwa ndani kwa wivu tu!!...sitamuacha salama huyu
[emoji23][emoji23][emoji23] asee iyo kalii kwa iyo ata dukan uendi
 
Upole wake..he was easy going..na yote tisa kumi sijawahi pewa pesa na mtu kama vile aisee...milioni laki 5 nikigusa tu dear nna shida nsaidie nakuomba mpenzi, hioo kitu na box...
[emoji23][emoji23]bado ukamuacha shoo
 
Halaf uambiwe mke mwema anapatikana humu kwa hali hii.....hizi habari zinavunja moyo sn kwny issue ya mahusiano unalala mtu ambaye anawaza mtu mwingine
Amna kitu apa[emoji125] [emoji125]
 
Na Mungu atakusaidia kufanikisha ilo usisahau kutupa kadi ya mwaliko lol...
 
[emoji22][emoji22][emoji22]jamanii mpaka uruma walah uyo mwanamke nisingmuacha ivi ivi lazima ningempa kilema cha maisha pumbavu....polee sana
 
....Walikuwa wawili lakini hawajuani mpaka kidudu mtu akawatonya na wakapigana gulioni mchana kweupee, nikapelekwa kinguvu kwenda kuamua ugomvi na kulipa bidhaa za watu zilizoharikiba. Aisee ilikuwa bonge la soo, the following morning nikakimbia kijiji kwenda town kwa uncle.
 
[emoji23][emoji23]bado ukamuacha shoo
Nahh diaa aliniacha yeye...level of care alokua nayo nisingeweza kumuacha..Mungu tu ndo anajua...we js turned very good friends tu....still nikiwa na shida he's my shoulder,he's never let me down
 
Nahh diaa aliniacha yeye...level of care alokua nayo nisingeweza kumuacha..Mungu tu ndo anajua...we js turned very good friends tu....still nikiwa na shida he's my shoulder,he's never let me down
Daaah aseee
 
Huyu ex ndo kaja nchi yngu!
 
Huyu ex ndo kaja nchi yngu!
 
Hivi kuna ku-move on kweli...? Naona wengi hapa wanatamani mambo yajirudie. Kwa kweli ukianza mahusiano leo hii, kaa mguu nje ndani, ama sivyo mwenzako ataenda kukumbushiana, halafu utaumia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…