What do you miss about your ex?

Naamzaje kummiss ex while I get a perfect man,and I love his imperfections and all of him. Siwezi kummiss Hata kwa bahati mbaya
 
huyu nisingemuacha mkuu.... raha zote hizo..!!!!
 
Nimemic alivyokuwa ananikaba shingoni wakati anafika kwenye ule mlima,yani mpaka nilikuwa najiuliza haya ni mapenzi au ni vita
 
Unakuta we ni mke/mme wa mtu af unaeleza unachomiss kwa ex...ex hajawai acha ndoa salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…