What Do You Know About Jack Daniels?

acheni upuuzi wenu hapa!!
Acheni watu tunywe kinywaji chetu bana!!
 
Wakuu hii pombe ni tamu kuliko whiskey zote duniani. mi ndo kinywaji changu hicho. hakina hangover japo as usual unahitaji kujua biology ya mwili kidogo. paombe ni kali sana na unahitaji kula vizuri (sio ule bamia na mlenda). Balanced diet na ikiwezekana upate fat ya kutosha.
its obvious pombe ikizidi mwilini inaumiza ini na figo lakini huwezi kutoa mapovu labda kama umekunywa chupa mbili kubwa kwa mpigo.
Hii pombe hainuki moshi (smoke) kama Grants, Black label au Red label
Jack Daniels is one of the sexiest whiskey in the world and its very delicious. Ndo nainywa huku naijadili hapa.
 
sexiest? unamaanisha nini mkuu? ipo kama nyagi kwenye yale mambo yetu?
 
Wanywaji wengi wa whisky Tanzania wanakosea na siyo issue ya chakula tu. Unywaji wa whisky na beer ni tofauti, beer unaweza kunywa nyingi kwa mara moja, lakini whisky usinywe kama beers, glass moja inatosha kwa siku na si chupa nzima kila siku, ndiyo maana mnaunguza mota/ini
 
"Wine is a mocker, Strong drink is raging and whosoever is deceived thereby is not wise."Proverbs 20:1
 
Back
Top Bottom