What do you know about E-commerce?

What do you know about E-commerce?

Mr.genius

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,372
Reaction score
1,207
Nmeleta kwenu huu uzi ili kufunguana macho, kuelezana kinagaubaga kuhusiana na biashara hii ilioegemea kuhusu Internet.
Dunia imebadlika sikuizi manunuzi na uuzwaji siku hizi unafanywa online lakini hii biashara inafanyweje? Fursa gani ambazo kama mnunuzi au muuzaji unaweza faidika? Na unafaidika vipi?
Na je, kama mtanzania wa kawaida na mimi naweza kumiliki platform za ununuzi na uuzwaji kama alibaba, Amazon, Jumia? How to do this?
Haya na mengneyo mengi nawakaribisha wadau na wajuvi wa haya mambo tubadilishane mawazo sababu naamini hapa jf ni kisima cha maarifa. (Where great thinkers meet)
Let's explore this thing and left any stone unturned!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom