Hoshea
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 5,420
- 3,776
what is up chitter chatters, nina swali wakuu wakubwa
Mi nataka kujua kazi gani ya hovyo wanalipa vizuri, kuna ninazo zijua ile ya kunyonga wanalipa safi kweli kweli, kilo nane na ushee nasikia, waoshaji mortuary i also heard 50,000 to 100,000 tsh per person, mwenye ujuzi na hili mwingine atujuze mi nataka mojawapo ya hizi sasa ndo am doing some research, they are very beneficial, mwenye ujuzi tafaadhali, kama hujui kitu pita tu, save the ink, sio uanze kupondea pondea, sipendi, dare i swear i'll wash ya for 50,000