Cable naweza ila network yetu almost 99% ni wireless na mi niko mobile natoa support na ofisini kwangu hakuna network port.Si kwamba sipati internet kabisa ,napat ila baadaya muda inapotea ila nina u-torrent yenyewe hii kitu ikitokea inaendelea kudownload tu fresh.Na hilo la program kuonekana chache kuliko nilizo install hapo unweza kuwa na idea?Ngoja nijaribu hiyo option ya kuupdate wireless network card driver.Then nitakujuza kama ikiwa poa.Thanks