Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,240
- 44,487
I have not taken enough time to study or read about the Tanzania economy but few days ago I have been asked to have a look ya ripoti mbalimbali na hasa hali ya kiuchumi. Well..almost everybody is mentioning things in apocalyptic language.. things like "doomed, collapse, disaster"..
So is there anybody who knows and can shade light on the state of our economy? What is going on and is there any reason whatsoever to be concerned at all?
Moja tatizo la nishati lishughulikiwe kidharura haraka sana na gharama za nishati zishuke by 20%,pia central bank isimamie uchumi moja kwa moja kwa kipindi chote hadi inflation itapofikia 5.7% na kabla hawajajitoa wawe wame set policy zitazoendesha uchumi salama bila inflation kuzidi 6% na hizo policy ziwe very close monitored kuzi update.pia kuanzia sasa kwa namna ya pekee kabisa swala la Money laundering liangaliwe kwa umakini tena haraka sana na hapa NBAA,TRA washirikishwe kusimamia utekelezaji wake.pia tutunge sheria ya kuzuia matumizi holela ya dola,kwasasa ni too much,dola huku mtaani ina take over kwa kasi ya ajabu! Kuna mengi lakini kwa kuanzia hapo si pabaya!Baada ya kuruhusu fedha chafu (tena nyingine kupitia BoT) kuingia kwenye mfumo wa uchumi, nadiriki kusema kuwa by December 2011 tutakuwa tunakaribia ku-collapse kabisa ki-Uchumi...
Hali ya uchumi ni mbaya sana - But very unfortunately - and sad indeed - The President Of the Republic Of Tanzania is very much unaware!!!
Mkuu kutoa pesa kwenye mzunguko ni zoezi dogo ambalo BOT wanaweza kuiplement kwa muda mfupi tu.Mimi walipo issue new currency notes in January while maintaining the old ones nilijuwa tayari mambo yeshaenda mrama ........na zaidi ya kununua hiyo nyumba kwa $24m na hisi Dowans wamelipwa kimyakimya
Tulipofikia hata tuweke chama gani lazima tupate maumivu ili uchumi uweze kuwa stable tena afadhali kipindi cha Ben inflation haikuwa mbaya.The only solution is removing ruling party from the power
Tulipofikia hata tuweke chama gani lazima tupate maumivu ili uchumi uweze kuwa stable tena afadhali kipindi cha Ben inflation haikuwa mbaya.
I don't think sera zilizopo za uchumi zinasimamiwa inavyotakiwa na serikali. Rushwa inaogopesha! hakuna tena siri jinsi watu wanavyodai na kupokea rushwa. Huo uchumi tutausukuma vipi kama kila kitu kinasukumwa na nini mtu anayesimamia ataneemeka kwanza? TRA, kama kulivyo sehemu nyingine kuna matatizo makubwa ya rushwa.
Unless we change they way we lead ourselves,we would collapse! This world has no mercy for people who dont want to apply their mind!
Baada ya kuruhusu fedha chafu (tena nyingine kupitia BoT) kuingia kwenye mfumo wa uchumi, nadiriki kusema kuwa by December 2011 tutakuwa tunakaribia ku-collapse kabisa ki-Uchumi...
Hali ya uchumi ni mbaya sana - But very unfortunately - and sad indeed - The President Of the Republic Of Tanzania is very much unaware!!!
Kikwete aache visasi na chuki za kiasiasa,ukweli ni kwamba Mkullo na Ndulu wameshindwa ku-deliver and they should be ejected.Dr. Kigoda apewe wizara ya fedha na pia kikwete angeweza kumsogeza ata Prof. Mbilinyi hawa wangemsaidia sana kuliko kung'ang'ania watu waliofeli ku-deliver.