What Are The Basic Running Processes in PC?

What Are The Basic Running Processes in PC?

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Wakuu,
laptopyangu imekua slow kiaina siku hizi apart from the fact kwamba hdd naona inaelekea kujaa ila pia nikiingia kwenye task manager kwenye upande wa processes nakutaka kuna process kibao zina run ambazo zinakula memory kubwa. Naomba kufahamu zile basic process zinazotakiwa kua zina run ili nikikuta nyinginezo nizifunge maana nahisi ndio zinachangia kwa kiasi kikubwa pc yangu kua slow.sometimes unafungua tu browser inaanza kwanza kwa not responding ( i use google chrome) then baadae ndio inakubali.
 
Process muhimu ni zile za system lakini kama sio ya system na ukiona inalamba memory kubwa basi istop hyo process.
 
Back
Top Bottom