Maana ukichukua frequency ya WhatsApp na weather ni kama mbingu na ardhi,kama upo TZ, tropics, sijui weather unaangalia kwa frequency gani hasa na kwa ishu gani hasa?
mm cna cha kudownload wala kuperuz kwenye ki tecno changu cha tochi nilichonunua 23,000/- tena kipya kabisa dukani na risiti nikapewa,sana sana nikitaka kufanya madoido ya kitochi changu basi natafuta steshen moja kabaambe kabisa ya fm na kula midundo balaa,mtaniambia nini bana nyie
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.