SHIEKA JF-Expert Member Joined Dec 20, 2011 Posts 8,240 Reaction score 4,270 May 6, 2014 #21 Ni kweli unaumwa sana na dalili ni jinsi ulivyochanganya lugha:kiingereza kibovu kwenye title na kiswahili kwenye maelezo. Kwa nini umeweka worse badala ya bad?
Ni kweli unaumwa sana na dalili ni jinsi ulivyochanganya lugha:kiingereza kibovu kwenye title na kiswahili kwenye maelezo. Kwa nini umeweka worse badala ya bad?
serio JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 7,354 Reaction score 4,763 May 6, 2014 #22 emma_laurent said: nashukuru sana,,mwalimu atakua ni wewe Click to expand... Ras Simba katoa offer.. ukibipu abakipigia na anakufundisha kwanjia ya simu. wahi sasa
emma_laurent said: nashukuru sana,,mwalimu atakua ni wewe Click to expand... Ras Simba katoa offer.. ukibipu abakipigia na anakufundisha kwanjia ya simu. wahi sasa