meaning?all is fair in love and war
Happy Valentine y'all. . .
Mine was quite memorable. . .I hope yours went well!!
Nwy wakati mwingine waweza kuta watu wawili wanapendana haswa, achana na kutamaniana. Mapenzi ambayo kama yangepewa nafasi yangechanua na kutengeneza mahusiano mazuri na imara sana, ila hamna anaekua na ujasiri wa kumwambia mwenzake. Yaweza kuwa ni matokeo ya kutojiamini; "yule mi sio size yake bwana", Hofu ya kukataliwa ;"naaah. . sidhani kama atanikubalia. Kama na yeye angekua na hisia za mapenzi juu yangu angeshanijulisha!", Hofu ya kuvunja uhusiano ambao tayari wanao ;"Ataniona wa ajabu sana kumtamkia maswala ya mapenzi yeye ni rafiki yangu, na mimi wake!!" n.k
Matokeo yake wanaishia kuwa na watu ambao hawawezi kuwapenda na kuridhika nao jumla with a lot of WHAT IF(S) kila kukicha. . . Isn't that a waste?
Hofu ya kuvunja uhusiano ambao tayari wanao...
In french they say : "si" abime l'idee.
Which means you can have a very good idea, but just because you start with "if" you have poisoned it already:
- If I could do this and that, I would tell her I love her
- I will tell her I love her as soon as I have done this and that.
Can you see how damaging 'if' can be?
That is a good strategy...ndo maana naamini kufuata moyo wako ni muhimu ili ukianza kulia unajililia mwenyewe kama siku ya kulia itafika. Wengine wanaenda mpaka mwisho with no big husslesIn love... risk is everything to land it. It may not always turn out rite,
but the fact that there might be that slight chance for it to turn out rite....
you go for it! Period! So that even if it does not work out, in the years to
come; you do not hold that nudging thot that I had lost that chance
to love and be loved not to have tried....
Ndahani nimependa kweli hiyo ya "kuachana njia panda" maana hilo ndilo haswa hua linatokea. Kila mmoja anabaki kuhisi hili na lile juu ya hisia za mwenzake. . .matokeo hata wakiwa na watu wengine hawajitoi 105%.Kama kuna kitu ningeweza kushauri ni watu kutulia wanapotaka kutafuta life partners na kusukumwa zaidi na nia za moyo bila pressure za nje(materials). Kutulia kunatoa nafasi ya kujuana zaidi na kufanya maamuzi ambayo hayana majuto. hakuna kitu kibaya amabcho nimekishuhudia kama watu kuachana njia panda. Kuna mmoja atakuwa majeruhi tu tena atatia huruma....what a waste, Lizzy!
Well, haina maana tusiache kufuata nini mioyo yetu inataka...mwisho wa siku tunatukuwa na utayari wa kubeba gharama zake.
Cartura nilimaanisha mahusiano kati yao (URAFIKI WAO) na sio na watu wengine.mmmh lizzy, hapo juu pamekaaje... inaruhusiwa 'ku-explore' kidogo ukiwa tayari uko ndani ya uhusiano eeh? lengo laweza kuwa nini hasa, kutafuta uhusiano bora zaidi kuliko wa sasa au?
Lizzy, Mine is to wish you and your followers a happy life. Valentine day came and left. The best thing is to find happiness within yourself. Treat each other with compassion. Do unto others as you would want others do unto you. Think kindly of others as you do. May Valentine spirit reign as of now and forever.
Ndahani nimependa kweli hiyo ya "kuachana njia panda" maana hilo ndilo haswa hua linatokea. Kila mmoja anabaki kuhisi hili na lile juu ya hisia za mwenzake. . .matokeo hata wakiwa na watu wengine hawajitoi 105%.
Sasa hivyo ndivyo ilivyo. . .Watu wengie WANEPENDA KUHISI na WANAOGOPA KUJUA!!Ni kweli ila kwenye huu ubinadamu, si busara kuhisi kila mtu anafanana na yule uliyekutana naye jana. Wengine wamezaliwa leo. wanaangalia TV kila uchochoro wakati sisi tulikuwa tunaenda kwenye viambaza vya nyumba za watu kama wapiga chambo...what I want to say is that we have got different approach when it comes to how we handle our issues
That is a good strategy...ndo maana naamini kufuata moyo wako ni muhimu ili ukianza kulia unajililia mwenyewe kama siku ya kulia itafika. Wengine wanaenda mpaka mwisho with no big hussles
Ni kweli ila kwenye huu ubinadamu, si busara kuhisi kila mtu anafanana na yule uliyekutana naye jana. Wengine wamezaliwa leo. wanaangalia TV kila uchochoro wakati sisi tulikuwa tunaenda kwenye viambaza vya nyumba za watu kama wapiga chambo...what I want to say is that we have got different approach when it comes to how we handle our issues