Jamani nimefungua wall yangu ya fb na kukutana na hii issue, kiukweli nimeshtuka, sikitika na kushikwa na wasiwasi, Hebu soma uone jinsi huyu mtu alvyofanya unyama huu.
"Friends, jana nimehudumia mtoto mchanga ameambukizwa HIV na Housegirl, Baba& Mama wako Negative na ni vijana sana. Nadhani ni lazima kujua Sero status za house girls coz nimejiweka nafasi ya wale wazazi na it's so painful.This girl alikuwa anamchanja mtoto makusudi miguuni then anamnyunyizia damu yake. Na alipoulizwa kwa nini? She said," mnisamehe jamani". Ok wazazi wamemsamehe na wame accept the reality!"
Source. fb
ishara ya nyakati za Mwisho. I have a friend. she was moving with a certain tycoon.
The tycoon was positive and she never new, Huyu tycoon alikua ana atend Clinic and many people knew it.
Kama mjuavyo siku hizo habari zinavuja sana, kama hajazivujisha Nurse anaye kuhudumia clinic atavujisha member mwenzako wa Clinic.
So hawa wagonjwa wanajulikana tu mitaani.
Mimi bila hiana nilimface my friend nikampa ukweli nikamwambia she should take care!! Believe you me, She told me just the other night alimlazimisha waende pure leather!!!
I advised her to attend VCT. alienda kupima na alijikuta yuko safi, she is waiting for the three months. Sijui kama ataponea coz alipima just Hours after they had Sex.
Amemfuata yule tycoon nakumuuliza nikwanini alimfanyia hivyo ilihali ni mgonjwa yule tycoon alikaa kimya kama kamwagiwa maji. mwishowe akamwambia eti watu wanampakazia kwasababu hawampendi!! what a shit answer.
Akamwambia basi kama ni uongo waongozane wote ANGAZA. Libaba likakataa katakata!!!!
Its a tendency of some sick Imbeciles not wanting to go alone!! They just to make sure that everybody near them is also HIV positive.
grrrrrrrr!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.