Leo katika taarifa ya habari ITV inayoendelea sasa JK ambaye ni Rais wetu amesema "nchi inayotegemea mikopo na misaada haiwezi kuwa na maendeleo" kwan siku misaada ikisitishwa au mkishindwa kulipa madeni itakuwa tabu kwenu.
Jamani hivi hii nchi inangozwaje? Kwann huyu president haishi kwenda kutembeza bakuli nje ilihali anajua ukweli mchungu?
Nawasilisha.
Siku moja akatokea kiongozi wa Taifa letu, akatuambia huko nje kuna hela nyingi kuliko hapa nyumbani, mwambieni wewe ni mpumbavu kabisa"
Mwalimu J.K. Nyerere.
"Inashangaza kuona kwamba hata Bajeti yetu ya kawaida ya mwaka, inategemea ongezo la fedha kutoka kwa wafadhili.Tujibane tupange Bajeti kutokana na Mapato yetu. Tabia hii ya kutegemea Wafadhili tutauza UHURU wetu"
Alhaj Ali Hassan Mwinyi.
"Kama kuna mtu ambaye anaamini nchi hii inaweza kuendelea kwa kusaidiwa, anajidanganya, Narudiia tena, Katika nchi hii kama kuna kiongozi anaamini nchi inaweza kuendelea kwa kupewa misaada, anajidanganya"
Benjamin Mkapa.
"Unapoenda kuomba siyo kwamba wewe unapenda tu kuomba. Huko nje kuna mataifa yenye hela nyingi tu, unachotakiwa ni kujieleza, wakikuelewa, watakupa"
Jakaya Kikwete.

Ni hasara kubwa kwa taifa hili kuwa na Rais anayejipinga mwenyewe. Shame on us

dont take him serious... alishasifia wakoloni kwa kututawalaLeo katika taarifa ya habari ITV inayoendelea sasa JK ambaye ni Rais wetu amesema "nchi inayotegemea mikopo na misaada haiwezi kuwa na maendeleo" kwan siku misaada ikisitishwa au mkishindwa kulipa madeni itakuwa tabu kwenu.
Jamani hivi hii nchi inangozwaje? Kwann huyu president haishi kwenda kutembeza bakuli nje ilihali anajua ukweli mchungu?
Nawasilisha.
Sijui ... ajaye itakuwaje.