What a house !!!

hizi nyumba kama za lushoto tu....nyingi ziko milimani.......na kuna hotel moja inasemekana ni ya mheshiwa fulani iko kama hapo mlimani kabisa.
 
Nyumba nzuri tena saana tu ila mhhhhhh inabidi usijikwaee na kama una mtoto roho juujuu.
 
Je, Unaweza kuishi kwenye nyumba hii?


Nyumba kama hizi wanaishigi watu ambao wameihasi serekali,
huko unakuja kuishi ukiwa umeshakua mtu mzima.
Watoto hawatakiwi, tena ukipanda hizo ngazi lazima uwe umejifunga parachute, ukiteleza tu unalifungua.
 
hizi nyumba kama za lushoto tu....nyingi ziko milimani.......na kuna hotel moja inasemekana ni ya mheshiwa fulani iko kama hapo mlimani kabisa.
tehetehe unamaanisha irente view
 
mvua ya upepo ikinyesha hakuna kulala ndani
 
Kwa uchokozi tu, hujambo, haya bhana inaitwa Irente Hotel iko Irente View ni eneo muhimu sana kwa Wataliii na ukipita kuelekeea Arusha maeneo ya Mombo kabla ya kufika Mazinde kama ni usiku utaona taa milimani kabisa ndio ilipo hio hotel na iedally ilikua aweke na skyline ambapo Watalii wangeweza kulala hapo Irente then waende Mbugani kule Mkomazi (maeneo ya karibia na Same au kabla ya same kama niko sahihi) ni nzuri sana kwa kweli na siasa inalipa wee acha tu
hizi nyumba kama za lushoto tu....nyingi ziko milimani.......na kuna hotel moja inasemekana ni ya mheshiwa fulani iko kama hapo mlimani kabisa.
 
yah...na nilienda wakati niko lushoto but niliishia kusimama kwenye lile jiwe ambalo chini kuna pango.......afu unaona barabara ya moshi.......ni pazuri ila duh panatisha aisee.
 
Nyumba nzuri tena saana tu ila mhhhhhh inabidi usijikwaee na kama una mtoto roho juujuu.
Inakuaje kwa watumiaji wa maji ya Ilala na chang'ombe watapanda kweli? Je kwa wenye bodaboda watapaki wapi au ndio kusema wataziacha CCM au vp?
 

Siasa inalipa baada ya kustaafu au kabla? Jitahidi basi mkuu 2015!
 
hizi nyumba kama za lushoto tu....nyingi ziko milimani.......na kuna hotel moja inasemekana ni ya mheshiwa fulani iko kama hapo mlimani kabisa.
Siyo ya mheshimiwa flan..ya B.W. MKAPA inaitwa view point ukisimama kwenye lile hadi Same unapaona pesa za wavuja jasho


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…