Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 6,445
- 8,418
Je, Unaweza kuishi kwenye nyumba hii?
![]()
tehetehe unamaanisha irente viewhizi nyumba kama za lushoto tu....nyingi ziko milimani.......na kuna hotel moja inasemekana ni ya mheshiwa fulani iko kama hapo mlimani kabisa.
hizi nyumba kama za lushoto tu....nyingi ziko milimani.......na kuna hotel moja inasemekana ni ya mheshiwa fulani iko kama hapo mlimani kabisa.
yah...na nilienda wakati niko lushoto but niliishia kusimama kwenye lile jiwe ambalo chini kuna pango.......afu unaona barabara ya moshi.......ni pazuri ila duh panatisha aisee.Kwa uchokozi tu, hujambo, haya bhana inaitwa Irente Hotel iko Irente View ni eneo muhimu sana kwa Wataliii na ukipita kuelekeea Arusha maeneo ya Mombo kabla ya kufika Mazinde kama ni usiku utaona taa milimani kabisa ndio ilipo hio hotel na iedally ilikua aweke na skyline ambapo Watalii wangeweza kulala hapo Irente then waende Mbugani kule Mkomazi (maeneo ya karibia na Same au kabla ya same kama niko sahihi) ni nzuri sana kwa kweli na siasa inalipa wee acha tu
yap buddy.tehetehe unamaanisha irente view
Inakuaje kwa watumiaji wa maji ya Ilala na chang'ombe watapanda kweli? Je kwa wenye bodaboda watapaki wapi au ndio kusema wataziacha CCM au vp?Nyumba nzuri tena saana tu ila mhhhhhh inabidi usijikwaee na kama una mtoto roho juujuu.
Kwa uchokozi tu, hujambo, haya bhana inaitwa Irente Hotel iko Irente View ni eneo muhimu sana kwa Wataliii na ukipita kuelekeea Arusha maeneo ya Mombo kabla ya kufika Mazinde kama ni usiku utaona taa milimani kabisa ndio ilipo hio hotel na iedally ilikua aweke na skyline ambapo Watalii wangeweza kulala hapo Irente then waende Mbugani kule Mkomazi (maeneo ya karibia na Same au kabla ya same kama niko sahihi) ni nzuri sana kwa kweli na siasa inalipa wee acha tu
Siyo ya mheshimiwa flan..ya B.W. MKAPA inaitwa view point ukisimama kwenye lile hadi Same unapaona pesa za wavuja jashohizi nyumba kama za lushoto tu....nyingi ziko milimani.......na kuna hotel moja inasemekana ni ya mheshiwa fulani iko kama hapo mlimani kabisa.
hahaahah umepatia.Siyo ya mheshimiwa flan..ya B.W. MKAPA inaitwa view point ukisimama kwenye lile hadi Same unapaona pesa za wavuja jasho
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Nyumba zingine yataka moyo kuziishi.