What a great story that we should all learn from...This may change somebody's fate

What a great story that we should all learn from...This may change somebody's fate

Ni kweli sisi wazazi wakisasa tunalemaza sana watoto . Utakuta binti wa 14yrs hawezi hata kupika wali na maharage au kuunga chai. Namshukuru Mungu amenisaidia kulijua hili mapema manake wanakula mtulinga hapa kama sio wangu vile. Nimeongeza kitu kupitia post hii ngoja nikiwa dar ntajaribu kuwapandisha public transport siku moja .
 
Back
Top Bottom