Papaa Muu JF-Expert Member Nov 6, 2018 243 292 Mar 12, 2019 #1 Ujumbe kutoka Shirika la Chakula Duniani (WFP), umetembelea Bandari ya Dar es Salamaa leo Jumanne Machi 12 kwa lengo la kuona maboresho ya huduma na kukagua taratibu za namna shehena ya chakula cha misaada inavyohudumiwa.
Ujumbe kutoka Shirika la Chakula Duniani (WFP), umetembelea Bandari ya Dar es Salamaa leo Jumanne Machi 12 kwa lengo la kuona maboresho ya huduma na kukagua taratibu za namna shehena ya chakula cha misaada inavyohudumiwa.