WFP waridhishwa na huduma ya bandari ya dar es salaam!

Papaa Muu

JF-Expert Member
Nov 6, 2018
243
292
Ujumbe kutoka Shirika la Chakula Duniani (WFP), umetembelea Bandari ya Dar es Salamaa leo Jumanne Machi 12 kwa lengo la kuona maboresho ya huduma na kukagua taratibu za namna shehena ya chakula cha misaada inavyohudumiwa.
2.JPG
 
Back
Top Bottom