Kwani Wakurya wamehama siku hizi huko Kitunda?
wakurya wanauza viwanja wanazidi kusogea mbele wako msongola siku hizi, wengine wandai wezi ndo hao hao basi shida tupu
sasa mpaka wakurya mnaibiwa huko, sijui itakuaje kwa sisi wapemba huku
Slim mwambie mtaalam wako pia kwamba awapukutishea hadi wanunuaji.Usiku wa tar. 19th October, walinifanyia kitu mbaya hao wezi! waliipukutisha Toyota Raum yangu, hata hamu sina! Police waliniuliza "kijana unatakaje?" Sikujibu!
Nilikuja hapa nikaweka uzi wangu wa masikitiko yangu, watu wakanipa pole, nikaahidi sintasamehe mtu, kuwa nitadeal nao kivyetuvyetu! Na tayari "mtaalamu kanipa proposal yake ya kwanza, KUWATANGULIZA MMOJA MMOJA!"
Hii imentisha, nimempa proposal yangu, cha kuwafanya wabaya wangu, ameikubali! Leo hapa ofisini nimeshajaza EMERGENCY LEAVE ya 2 days, kesho ntashinda sokoni TANDALE kukusanya mahitaji ya "mtaalamu wangu!" Baada ya hapo napanda basi UBUNGO, safari!!
Nitaleta mrejesho baada ya kurudi kutoka kwa "mtaalamu"
Usiku wa tar. 19th October, walinifanyia kitu mbaya hao wezi! waliipukutisha Toyota Raum yangu, hata hamu sina! Police waliniuliza "kijana unatakaje?" Sikujibu!
Nilikuja hapa nikaweka uzi wangu wa masikitiko yangu, watu wakanipa pole, nikaahidi sintasamehe mtu, kuwa nitadeal nao kivyetuvyetu! Na tayari "mtaalamu kanipa proposal yake ya kwanza, KUWATANGULIZA MMOJA MMOJA!"
Hii imentisha, nimempa proposal yangu, cha kuwafanya wabaya wangu, ameikubali! Leo hapa ofisini nimeshajaza EMERGENCY LEAVE ya 2 days, kesho ntashinda sokoni TANDALE kukusanya mahitaji ya "mtaalamu wangu!" Baada ya hapo napanda basi UBUNGO, safari!!
Nitaleta mrejesho baada ya kurudi kutoka kwa "mtaalamu"
mwanagati au kinyantira au kibeberu
sasa mpaka wakurya mnaibiwa huko, sijui itakuaje kwa sisi wapemba huku
Huo wizi utakuwa unafanyika maeneo ya Kitunda shule ambako kuna mchanganyiko wa watu. Maeneo uliyoyataja, ukikutana na mtu anakusalimia kilugha, usipojibu kilugha utaulizwa unaenda kwa nani, kinachofuata ni wewe kuandamana na kundi la watu mpaka kwa uliyesema kuwa ndiye mwenyeji wako. Ole wako mwenyeji wako aseme hakufahamu- mapanga na moto ni haki yako. Ndio maana hata kama kuna wizi wa kuku, ng'ombe na madukani maeneo hayo, wanaibiana wenyewe kwa wenyewe, kwa bahati nzuri hawajui soko la vifaa vya magari.
Zanzibar Spices kwenye ile proposal yake, "mtaalamu" alisema anapukutisha wote, wezi mpaka madalali! hapo ndio alipontisha!Slim mwambie mtaalam wako pia kwamba awapukutishea hadi wanunuaji.
Maan yapo maduka maalum yanayonunua vifaa vya magari vya hao wezi na yanajulikana kwa majina.
Lakini Polisi wanajifanya hawayatambui,na hata kodi hawalipi,maana havina receipt ya manunuzi.
Kuna mdau humu aliwahi kutaja maduka hayo kwenye uzi mmoja hivi
Huo wizi utakuwa unafanyika maeneo ya Kitunda shule ambako kuna mchanganyiko wa watu. Maeneo uliyoyataja, ukikutana na mtu anakusalimia kilugha, usipojibu kilugha utaulizwa unaenda kwa nani, kinachofuata ni wewe kuandamana na kundi la watu mpaka kwa uliyesema kuwa ndiye mwenyeji wako. Ole wako mwenyeji wako aseme hakufahamu- mapanga na moto ni haki yako. Ndio maana hata kama kuna wizi wa kuku, ng'ombe na madukani maeneo hayo, wanaibiana wenyewe kwa wenyewe, kwa bahati nzuri hawajui soko la vifaa vya magari.
Fanya mambo Slim.Zanzibar Spices kwenye ile proposal yake, "mtaalamu" alisema anapukutisha wote, wezi mpaka madalali! hapo ndio alipontisha!
Sasa baada ya kumpa proposal yangu, nini cha kuwafanya watu hawa, nikifika tutakuwa na majadiliano mafupi, mimi na "mtaalamu" namna ya kuwafanya! Huenda na hawa wenye maduka wakahusishwa, ngoja tuone, mpaka Jumapili ntakuwa nimerudi mjini!
tatizo hao wezi hawajamwagwa mavi.ila hao wanamtandao mkubwa sana wako wengi, chimbuko lao walikuwa wanatokea magomeni alikuwepo junky mmja hivi wa kiarabu na wenzake walikuwa wanatumia escudo nyekundu walisumbua sana sleepway, mlimancity na sehemu zingine, wanapenda pia kuja sehemu za harusi na misiba....