Wezi wa simu nguli Jijini London- hebu wacheki kwanza

mxyo16

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
1,243
758
Ulishawahi kuwa airport au mlimani city kwenye car parking, au hata other super martket hizi kubwa....halafu anatokea mkaka wa jamii ya kiasia anakusemesha kizungu huku ameshika simu za bei gali......mfano iphone ya bei ya dola 600 yeye akuuzie shilingi laki 2 au 3 ana kusisitizia kuwa hiyo simu sio fake na kwamba anamatatizo kifamilia anahitaji pesa kidogo....

nadhani mmeshakutana nao.....hawa chini ni network ya wezi wa simu (yani pickpoketers) on London undergroung trains, na huiba during rush hours...jioni...na huiba bila mtu kujua anaibiwa......wamepigwa jela wote miaka 30 kwa ujumla....inasemekana wametengeneza karibu Pound milioni 5, kwa siku wanaiba simu kufikia thamani ya Pound elfu 10.....(pound 1 leo ni sh.3,185)
Walikamatwa na kubumbulukwa mchezo wao huo kwa msako maalumu kwenye makazi yao katika maeneo mbalimbali na kukutwa nasimu kibao zilizo ripotiwa kuibiwa....nadhani pia uchunguzi ukaweza kutambua kiufasaha hizo dili na wahusika wote...

Ujue hapa hata informers wanahusika....sometimes watu wanaonekana wanatanua na kumiliki magari bila shughuli zao kujulikana ...ndio hupelekea kufatiliwa.....hapa kwetu sijui hii procedure ipo!?

don't ever ever ever ever judge a book by its cover.

2FCB403000000578-3384080-image-a-2_1451926206026.jpg
Leader


2FCB403E00000578-3384080-image-m-6_1451926262663.jpg


2FCB405F00000578-3384080-image-a-7_1451926270426.jpg


2FCB3FA600000578-3384080-image-m-20_1451926498551.jpg


2FCB405600000578-3384080-image-a-21_1451926506848.jpg


2FCB3F9700000578-3384080-image-m-22_1451926511153.jpg


2FCB406F00000578-3384080-image-a-23_1451926517616.jpg


2FCB404600000578-3384080-image-m-24_1451926523105.jpg


2FCB406B00000578-3384080-image-a-25_1451926528722.jpg


2FCB407500000578-3384080-image-m-26_1451926534035.jpg


2FCB404C00000578-3384080-image-a-27_1451926541165.jpg
 
Back
Top Bottom