Kuna jamaa angu alipaki gari yake Verosa car parking kesho yake asubuh kwenda kuchukua gari yake akakuta wamemlamba vitu vyote kwenye gari power window, taa kubwa zote za mbele na za nyuma, radio na walitaka washushe na engine sema wakawa wamechelewa sana, na bahati nzuri mmiliki wa parking ni mke wa mchina ilipofika jioni wakaingia show room wakamalizana kimtindo! ila walinzi wote walifukuzwa kazi