Wezere, wezere, wezeree

Wezere, wezere, wezeree

Yaani inafika kipindi tunakuwa hatuoni hasara kama wezere ipo, ila kama umepigwa pasi tukimaliza tu ile game tunaanza kujilaumu.
Mkuu imeandikwa; "ikimbieni ZINAA". Vitabu vyote vya dini vinakataza na kukemea ZINAA na UASHERATI. Acha uzinzi mkuu tulia na mkeo kama umeoa, kama bado, oa na utulie na mkeo.

Narudia tena kukuambia; IKIMBIENI ZINAA!...... shauri yako!
 
Back
Top Bottom